1 Timotheo 4:8
Kwa maana mazoezi ya mwili yana faida kwa sehemu, lakini utauwa una faida katika mambo yote, yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa na ya ule ujao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa,
Cross References
Deuteronomy 28:1Kama ukimtii Bwana Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Job 5:19Kutoka majanga sita atakuokoa; 2 naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 1
Psalms 37:3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; 2 Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 1
Psalms 37:11Bali wanyenyekevu watairithi nchi 2 na wafurahie amani tele. 1
Psalms 37:29Wenye haki watairithi nchi, 2 na kuishi humo milele. 1
Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1