The Bible Software
bible.software › 1 Timotheo › 1 Timotheo 5 › 1 Timotheo 5:3

1 Timotheo 5:3

Waheshimu wanawake wajane ambao ni wajane kweli kweli.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Honour widows that are widows indeed.

In Context

2nao wanawake wazee uwatendee kama mama zako, na wanawake vijana kama dada zako, katika usafi wote.

4Kama mjane ana watoto ama wajukuu, hawa inawapasa awali ya yote wajifunze kutimiza wajibu wao wa kumcha Mungu katika matendo kwa kuwatunza wale wa jamaa zao wenyewe, na hivyo wawarudishie wema waliowatendea wazazi wao, kwa kuwa hivi ndivyo impendezavyo Mungu.

Read all of 1 Timotheo 5

Cross References

Exodus 20:12Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako. 1

Deuteronomy 14:29ili Walawi (ambao hawana mashamba wala urithi wao wenyewe) na wageni, yatima na wajane wanaoishi kwenye miji yenu wapate kuja kula na kushiba, ili Bwana Mungu wenu apate kuwabariki ninyi katika kazi zote za mikono yenu.

Deuteronomy 16:14Mfurahie sikukuu yenu, ninyi, wana wenu, binti zenu, watumishi wenu wa kiume na wa kike, Walawi, wageni, yatima na wajane ambao wanaishi katika miji yenu.

Job 29:13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, 2 nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 1

Psalms 68:5Baba wa yatima, mtetezi wa wajane, 2 ni Mungu katika makao yake matakatifu. 1

Psalms 146:9Bwana huwalinda wageni 2 na kuwategemeza yatima na wajane, 2 lakini hupinga njia za waovu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Timotheo 5:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Timotheo 5:21 Timotheo 51 Timotheo 5:4 →