1 Timotheo 5:7
Wape watu maagizo haya pia, ili asiwepo yeyote wa kulaumiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And these things give in charge, that they may be blameless.
In Context
6Lakini mjane aishiye kwa anasa amekufa, ingawa anaishi.
Cross References
1 Timothy 4:11Mambo haya yaagize na kuyafundisha.
2 Timothy 4:1Nakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu watu walio hai na waliokufa wakati wa kuja kwake na ufalme wake, kwamba:
Titus 2:15Basi wewe fundisha mambo haya. Onya na kukaripia kwa mamlaka yote. Mtu yeyote asikudharau.