bible.software › 1 Timotheo › 1 Timotheo 6 › 1 Timotheo 6:15
1 Timotheo 6:15
Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Which in his times he shall shew, who is the blessed and only Potentate, the King of kings, and Lord of lords;
In Context
14nakuamuru ushike maagizo yako na kuyatii kwa uaminifu mpaka Siku ile atakapotokea Bwana wetu Yesu Kristo.
16Yeye peke yake anaishi milele, katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. Kwake iwe heshima na uwezo wa milele! Amina.
Read all of 1 Timotheo 6
Cross References
1 Timothy 1:11Mafundisho hayo hupatikana katika Habari Njema ambayo mimi nimekabidhiwa niihubiri, Habari Njema ya Mungu mtukufu na mwenye heri.
This Verse In Other Editions
Study 1 Timotheo 6:15