bible.software › 1 Timotheo › 1 Timotheo 6 › 1 Timotheo 6:18
1 Timotheo 6:18
Waamuru watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, na wawe wakarimu na walio tayari kuwashirikisha wengine mali zao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
That they do good, that they be rich in good works, ready to distribute, willing to communicate;
In Context
17Waamuru watu walio matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee Mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu vyote tuvifurahie.
19Kwa namna hiyo watajiwekea hazina ambayo itakuwa kwao msingi imara kwa wakati ujao. Hapo wataweza kujipatia uzima ambao ni uzima wa kweli.
Read all of 1 Timotheo 6
Cross References
Luke 12:21Yesu akamaliza kwa kusema “Ndivyo ilivyo kwa mtu anayejilundikia mali kwa ajili yake mwenyewe, lakini si tajiri mbele ya Mungu.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Timotheo 6:18