1 Timotheo 6:8
Lakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And having food and raiment let us be therewith content.
In Context
7Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu.
Cross References
Genesis 48:15Ndipo akambariki Yosefu akisema, 1 “Mungu ambaye baba zangu 2 Abrahamu na Isaki walimtii, 1 Mungu ambaye amekuwa mchungaji 2 wa maisha yangu yote mpaka leo hii, 1
Deuteronomy 8:3Alikudhili na kukufanya uone njaa kisha akulishe kwa mana, ambayo wewe wala baba zako hamkuijua, awafundishe kuwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Bwana.
Proverbs 30:8Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo; 2 usinipe umaskini wala utajiri, 2 bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. 1
Ecclesiastes 3:12Ninajua kwamba hakuna kitu bora kwa wanadamu kuliko kuwa na furaha na kutenda mema wakati wanapoishi.
Matthew 6:25“Kwa hiyo nawaambia, msisumbukie maisha yenu kwamba mtakula nini au mtakunywa nini; au msumbukie miili yenu kwamba mtavaa nini. Je, maisha si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?