2 Chronicles 1:14
Solomoni akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 4:26Solomoni alikuwa na mabanda 4,000 + 4:26 Waandishi wengine wanasema 40,000 (angalia 2Nya 9:25 ). ya magari ya vita, na farasi 12,000.
1 Kings 9:19vilevile miji ya ghala na miji kwa ajili ya magari yake na kwa ajili ya farasi wake: chochote alichotaka kujenga katika Yerusalemu, katika Lebanoni, na katika eneo yote aliyotawala.
1 Kings 10:26Solomoni akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu.
2 Chronicles 9:25Solomoni alikuwa na mabanda 4,000 kwa ajili ya farasi na magari ya vita, farasi 12,000 ambao aliwaweka katika miji ya magari ya vita na katika Yerusalemu pamoja naye.