bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 1 › 2 Chronicles 1:16
2 Chronicles 1:16
Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. + 1:16 Yaani Kilikia. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Solomon had horses brought out of Egypt, and linen yarn: the king’s merchants received the linen yarn at a price.
In Context
15Mfalme akafanya fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.
17Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 + 1:17 Shekeli 600 za fedha ni sawa na kilo 7. za fedha, na farasi kwa shekeli 150. + 1:17 Shekeli 150 ni sawa na kilo 1.7. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
Read all of 2 Chronicles 1
Cross References
1 Kings 10:28Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue. + 10:28 Yaani Kilikia ilioko Syria. Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue.
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 1:16