2 Chronicles 11:18
Rehoboamu alimwoa Mahalati ambaye alikuwa binti Yeremothi mwana wa Daudi, mamaye alikuwa Abihaili binti Eliabu mwana wa Yese.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Mahalati alimzalia Rehoboamu wana: Yeushi, Shemaria na Zahamu.
Cross References
1 Samuel 16:6Walipofika, Samweli akamwona Eliabu, naye akafikiri, “Hakika mpakwa mafuta wa Bwana anasimama hapa mbele za Bwana.”
1 Samuel 17:28Eliabu nduguye mkubwa Daudi alipomsikia akizungumza na watu hasira ikawaka juu yake akamuuliza, “Kwa nini umeteremka kuja hapa? Nao wale kondoo wachache kule nyikani umewaacha na nani? Ninajua jinsi ulivyo na kiburi na jinsi moyo wako ulivyo mwovu; umekuja hapa kutazama vita tu.”
1 Chronicles 27:18kwa Yuda: Elihu, nduguye Daudi; 1 kwa Waisakari: Omri mwana wa Mikaeli; 1