2 Chronicles 11:8
Gathi, Maresha, Zifu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Gath, and Mareshah, and Ziph,
In Context
Cross References
Joshua 15:44Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake. 1
1 Samuel 23:14Daudi akakaa katika ngome za jangwani na katika vilima vya Jangwa la Zifu. Siku baada ya siku Sauli aliendelea kumsaka, lakini Mungu hakumtia Daudi mikononi mwake.
1 Chronicles 18:1Baada ya muda, Daudi akawashinda Wafilisti na kuwatiisha, naye akautwaa Gathi pamoja na vijiji vinavyouzunguka kutoka utawala wa Wafilisti.
2 Chronicles 20:37Ndipo Eliezeri mwana wa Dodavahu wa Maresha akatoa unabii dhidi ya Yehoshafati, akasema, “Kwa kuwa umeungana na Ahazia, Bwana ataangamiza vile mlivyotengeneza.” Zile meli zikavunjika na hazikuweza kungʼoa nanga ili kwenda Tarshishi.
Psalms 54:1Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, 2 unifanyie hukumu kwa uwezo wako. 1