bible.software › 2 Nyakati › 2 Nyakati 12 › 2 Nyakati 12:16
2 Nyakati 12:16
Rehoboamu akalala na baba zake, akazikwa katika Mji wa Daudi. Naye Abiya mwanawe akawa mfalme baada yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Rehoboam slept with his fathers, and was buried in the city of David: and Abijah his son reigned in his stead.
In Context
15Kwa habari ya matukio katika utawala wa Rehoboamu, tangu mwanzo mpaka mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Shemaya na mwonaji Ido zinazohusiana na vizazi? Kulikuwako na vita mara kwa mara kati ya Rehoboamu na Yeroboamu.
Read all of 2 Nyakati 12
Cross References
1 Chronicles 3:10Mwana wa Solomoni alikuwa Rehoboamu, 2 mwanawe huyo alikuwa Abiya, 2 mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati, 2 mwanawe huyo alikuwa Asa, 2
2 Chronicles 13:1Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yeroboamu, Abiya akawa mfalme wa Yuda,
This Verse In Other Editions
Study 2 Nyakati 12:16