2 Chronicles 12:8
Hata hivyo, watamtumikia Shishaki ili wapate kujifunza tofauti kati ya kunitumikia mimi na kuwatumikia wafalme wa nchi nyingine.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:48kwa hiyo katika njaa na kiu, katika uchi na umaskini wa kutisha, utawatumikia adui ambao Bwana atawatuma dhidi yako. Yeye ataweka nira ya chuma shingoni mwako hadi amekwisha kukuangamiza.
Judges 3:2(alifanya hivi ili tu kuwafundisha wazao wa Waisraeli ambao hawakuwa wamejua vita hapo awali):
Psalms 106:42Adui zao wakawaonea 2 na kuwatia chini ya mamlaka yao. 1
Jeremiah 10:24Unirudi, Ee Bwana, lakini kwa kipimo cha haki: 2 si katika hasira yako, 2 usije ukaniangamiza. 1