2 Chronicles 13:18
Watu wa Israeli walitiishwa katika tukio lile, nao watu wa Yuda wakawa washindi kwa sababu walimtegemea Bwana, Mungu wa baba zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 18:5Hezekia aliweka tumaini lake kwa Bwana, Mungu wa Israeli. Hapakuwepo na mfalme mwingine wa kufanana naye miongoni mwa wafalme wa Yuda, kabla yake au baada yake.
2 Chronicles 14:10Asa akatoka kumkabili, nao wakapanga vita katika Bonde la Sefatha karibu na Maresha.
2 Chronicles 16:8Je, hukumbuki lililotendeka kwa Wakushi na Walibia, hawakuwa jeshi lenye nguvu na magari mengi ya vita na wapanda farasi? Hata hivyo, ulipomtegemea Bwana yeye aliwatia mkononi mwako.
Psalms 22:4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, 2 walikutumaini nawe ukawaokoa. 1
Psalms 146:5Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, 2 ambaye tumaini lake ni katika Bwana, Mungu wake, 1
Nahum 1:7Bwana ni Mwema, 2 kimbilio wakati wa taabu. 1 Huwatunza wale wanaomtegemea, 2