bible.software › 2 Nyakati › 2 Nyakati 15 › 2 Nyakati 15:10
2 Nyakati 15:10
Basi wakakusanyika huko Yerusalemu mwezi wa tatu katika mwaka wa kumi na tano wa utawala wa Asa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So they gathered themselves together at Jerusalem in the third month, in the fifteenth year of the reign of Asa.
In Context
9Kisha akakutanisha Yuda wote, Benyamini na watu kutoka Efraimu, watu wa Manase na Simeoni waliokuwa wanaishi miongoni mwao, kwa maana idadi kubwa walikuwa wamemjia kutoka Israeli walipoona kwamba Bwana Mungu wake alikuwa pamoja naye.
11Wakati huo wakamtolea Bwana dhabihu za ngʼombe 700, kondoo na mbuzi 7,000 kutoka zile nyara walizoteka.
Read all of 2 Nyakati 15
This Verse In Other Editions
Study 2 Nyakati 15:10