2 Nyakati 15:19
Hapakuwepo vita tena mpaka mwaka wa thelathini na tano wa utawala wake Asa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there was no more war unto the five and thirtieth year of the reign of Asa.
In Context
Cross References
1 Kings 15:31Kwa matukio mengine ya utawala wa Nadabu na yote aliyofanya, je hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli?
2 Chronicles 16:1Katika mwaka wa thelathini na sita wa utawala wa Asa, Mfalme Baasha wa Israeli akashambulia Yuda na kuweka ngome mji wa Rama ili kumzuia yeyote asitoke wala kuingia nchi ya Mfalme Asa wa Yuda.