The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 17 › 2 Chronicles 17:13

2 Chronicles 17:13

na akawa na wingi mkubwa wa vitu katika miji ya Yuda. Pia aliweka askari wa vita wenye uzoefu huko Yerusalemu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he had much business in the cities of Judah: and the men of war, mighty men of valour, were in Jerusalem.

In Context

12Yehoshafati akaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi, akajenga ngome na miji ya hazina katika Yuda

14Wakaandikishwa katika jamaa zao kama ifuatavyo: 1 Kutoka Yuda, majemadari wa vikosi vya elfu: 2 Jemadari Adna akiwa na askari wa vita 300,000; 2

Read all of 2 Chronicles 17

Cross References

1 Chronicles 7:11Hawa wana wote wa Yediaeli walikuwa viongozi wa jamaa zao. Kulikuwako wanaume wapiganaji 17,200 waliokuwa tayari kwenda vitani. 1

2 Chronicles 14:7Mfalme akawaambia Yuda, “Tuijenge hii miji na tuizungushie kuta, pamoja na minara, malango na makomeo. Nchi bado ni yetu, kwa sababu tumemtafuta Bwana Mungu wetu, tulimtafuta naye ametupa raha kila upande.” Hivyo wakajenga na wakafanikiwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 17:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 17:122 Chronicles 172 Chronicles 17:14 →