The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 18 › 2 Chronicles 18:5

2 Chronicles 18:5

Kwa hiyo mfalme wa Israeli akawaleta pamoja manabii wanaume wapatao mia nne, akawauliza, “Je, twende vitani dhidi ya Ramoth-Gileadi, au niache?” Wakajibu, “Naam, nenda kwa kuwa Mungu ataiweka Ramoth-Gileadi mkononi mwa mfalme.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore the king of Israel gathered together of prophets four hundred men, and said unto them, Shall we go to Ramoth-gilead to battle, or shall I forbear? And they said, Go up; for God will deliver it into the king’s hand.

In Context

4Lakini Yehoshafati pia akamwambia mfalme wa Israeli, “Kwanza tafuta shauri la Bwana.”

6Lakini Yehoshafati akauliza, “Je, hayuko nabii wa Bwana hapa ambaye tunaweza kumuuliza?”

Read all of 2 Chronicles 18

Cross References

1 Kings 12:9Akawauliza, “Ninyi ushauri wenu ni nini? Tutawajibuje watu hawa wanaoniambia, ‘Ifanye nyepesi nira baba yako aliyoweka juu yetu?’ ”

2 Kings 3:13Elisha akamwambia mfalme wa Israeli, “Nina nini mimi nawe? Nenda kwa manabii wa baba yako na manabii wa mama yako.” Mfalme wa Israeli akajibu, “La hasha, kwa sababu ni Bwana ambaye ametuita pamoja sisi wafalme watatu ili atutie mikononi mwa Moabu.”

2 Chronicles 18:20Mwishoni, roho akajitokeza, akasimama mbele za Bwana na kusema, ‘Nitamshawishi.’ “ Bwana akauliza, ‘Kwa njia gani?’

Jeremiah 23:14Nako miongoni mwa manabii wa Yerusalemu 2 nimeona jambo baya sana: 1 Wanafanya uzinzi 2 na kuenenda katika uongo. 1 Wanatia nguvu mikono ya watenda mabaya, 2 kwa ajili hiyo hakuna yeyote 2 anayeachana na uovu wake. 1 Wote wako kama Sodoma kwangu; 2 watu na Yerusalemu wako kama Gomora.”

Jeremiah 23:17Huendelea kuwaambia wale wanaonidharau mimi, 2 ‘ Bwana asema: Mtakuwa na amani.’ 1 Kwa wale wote wafuatao ugumu wa mioyo yao, 2 wao husema, ‘Hakuna dhara litakalowapata.’ 1

Jeremiah 38:14Ndipo Mfalme Sedekia akatuma watu wamwitie nabii Yeremia wamlete kwake kwenye ingilio la tatu la Hekalu la Bwana. Mfalme akamwambia Yeremia, “Ninataka kukuuliza jambo fulani, usinifiche kitu chochote.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 18:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 18:42 Chronicles 182 Chronicles 18:6 →