2 Chronicles 19:1
Mfalme Yehoshafati wa Yuda akarudi salama kwenye jumba lake la kifalme huko Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jehoshaphat the king of Judah returned to his house in peace to Jerusalem.
In Context
Cross References
2 Chronicles 18:31Wakati wale majemadari wa magari ya vita walipomwona Yehoshafati, wakafikiri, “Hakika huyu ndiye mfalme wa Israeli.” Kwa hiyo wakageuka ili wamshambulie, lakini Yehoshafati akapiga kelele, naye Bwana akamsaidia. Mungu akawaondoa kwake,