2 Chronicles 2:1
Solomoni akatoa amri kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la Bwana na jumba la kifalme kwa ajili yake mwenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Solomon determined to build an house for the name of the LORD, and an house for his kingdom.
In Context
Cross References
Deuteronomy 12:5Bali mtatafuta mahali Bwana Mungu wenu atakapopachagua katika makabila yenu yote ili aliweke jina lake huko kuwa makao yake. Mahali hapo ndipo iwapasapo kwenda;
Deuteronomy 28:58Kama hutafuata kwa bidii maneno yote ya sheria hii, ambayo yameandikwa katika kitabu hiki na kama hutalicha hili jina la fahari na la kutisha, yaani la Bwana Mungu wako,
1 Kings 5:15Solomoni alikuwa na wachukuzi wa mizigo 70,000 na wachonga mawe 80,000 huko vilimani,
1 Kings 8:18Lakini Bwana akamwambia Daudi baba yangu, ‘Kwa sababu ilikuwa moyoni mwako kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina langu, ulifanya vyema kuwa na jambo hili moyoni mwako.
1 Kings 9:1Solomoni alipomaliza kujenga Hekalu la Bwana na jumba la kifalme, alipokwisha kufanya yote aliyotaka kufanya,
Matthew 6:9“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba: 1 “ ‘Baba yetu uliye mbinguni, 2 Jina lako litukuzwe. 1