bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 2 › 2 Chronicles 2:13
2 Chronicles 2:13
“Mimi nitamtuma kwako Huramu-Abi, mtu mwenye ustadi mwingi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And now I have sent a cunning man, endued with understanding, of Huram my father’s,
In Context
12Naye Hiramu akaongeza kusema: “Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli aliyezifanya mbingu na nchi! Amempa Mfalme Daudi mwana mwenye hekima, aliyejaliwa maarifa na ufahamu, ambaye atajenga Hekalu kwa ajili ya Bwana, na jumba la kifalme kwa ajili yake mwenyewe.
14ambaye mama yake alitoka Dani na baba yake alitoka Tiro. Yeye ni stadi wa kutengeneza vitu, kufanya kazi zote za dhahabu, fedha, shaba, chuma, mawe na mbao pamoja na kufuma. Ni stadi katika kutia rangi ya zambarau, buluu, nyekundu na nguo za kitani safi. Yeye ana ujuzi katika aina zote za kutia nakshi na anaweza kufuatiliza mchoro wowote wa kazi anayopewa. Atafanya kazi na mafundi wako na wale wa bwana wangu, Daudi baba yako.
Read all of 2 Chronicles 2
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 2:13