2 Chronicles 2:7
“Hivyo basi nitumie mtu mwenye ustadi wa kufanya kazi ya kutengeneza dhahabu na fedha, shaba na chuma, nyuzi za rangi ya zambarau, nyekundu na buluu, mwenye uzoefu wa kutia nakshi, ili afanye kazi Yuda na Yerusalemu pamoja na mafundi wangu wenye ustadi, ambao baba yangu Daudi aliwaweka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 7:14ambaye mama yake alikuwa mjane kutoka kabila la Naftali na baba yake alikuwa mtu wa Tiro tena fundi wa shaba. Hiramu alikuwa na ustadi wa hali ya juu na mzoefu katika aina zote za kazi ya shaba. Alikuja kwa Mfalme Solomoni na kufanya kazi zake zote alizopangiwa.
1 Chronicles 22:15Unao wafanyakazi wengi: Wachonga mawe, waashi na maseremala, pamoja na watu walio na ustadi katika kila kazi
Isaiah 28:26Mungu wake humwelekeza 2 na kumfundisha njia iliyo sahihi. 1
Isaiah 60:10“Wageni watazijenga upya kuta zako, 2 na wafalme wao watakutumikia. 1 Ingawa katika hasira nilikupiga, 2 lakini katika upendeleo wangu 2 nitakuonyesha huruma. 1