2 Nyakati 20:28
Wakaingia Yerusalemu na kwenda hekaluni mwa Bwana wakiwa na vinubi, zeze na tarumbeta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they came to Jerusalem with psalteries and harps and trumpets unto the house of the LORD.
In Context
Cross References
1 Chronicles 13:8Daudi pamoja na Waisraeli wote walikuwa wanasifu kwa nguvu zao zote mbele za Mungu, kwa nyimbo na kwa vinubi, zeze, matari, matoazi na tarumbeta.
1 Chronicles 25:6Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Bwana wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme.
Psalms 92:3kwa zeze yenye nyuzi kumi 2 na kwa sauti ya kinubi. 1
Psalms 149:3Na walisifu jina lake kwa kucheza 2 na wampigie muziki kwa matari na kinubi. 1
Revelation 14:2Nami nikasikia sauti kutoka mbinguni kama sauti ya maji mengi yaendayo kwa kasi na sauti kama ngurumo ya radi. Sauti hiyo niliyoisikia ilikuwa kama sauti ya wapiga vinubi wakipiga vinubi vyao.