2 Chronicles 20:36
Akaungana naye kutengeneza meli nyingi za kwenda Tarshishi, + 20:36 Au: za biashara (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 9:21; Isa 2:16; 60:9 ). nazo zilitengenezwa huko Esion-Geberi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 10:22Mfalme alikuwa na meli nyingi za biashara + 10:22 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). baharini zilizokuwa zikiandamana na meli za Hiramu. Kwa mara moja kila miaka mitatu zilirudi, zikiwa zimebeba dhahabu, fedha, pembe za ndovu na nyani wakubwa na wadogo.
2 Chronicles 9:21Mfalme alikuwa na meli nyingi za biashara + 9:21 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). baharini zilizoendeshwa na watu wa Hiramu. Kwa mara moja kila miaka mitatu zilirudi, zikiwa zimebeba dhahabu, fedha, pembe za ndovu na nyani wakubwa na wadogo.