2 Chronicles 20:4
Watu wa Yuda wakakusanyika pamoja ili kutafuta msaada kutoka kwa Bwana. Wakaja kutoka kila mji wa Yuda ili kumtafuta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafuta Bwana, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga.
Cross References
2 Chronicles 11:16Wale waliotoka katika kila kabila la Israeli ambao walielekeza mioyo yao kumtafuta Bwana, Mungu wa Israeli, wakawafuata Walawi huko Yerusalemu kumtolea Bwana dhabihu, Mungu wa baba zao.
Ezra 8:21Kando ya Mto Ahava, hapo nilitangaza kufunga, ili tujinyenyekeshe mbele za Mungu wetu na kumwomba kwa ajili ya kutujalia safari ya amani sisi na watoto wetu, pamoja na mali zetu zote.
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Psalms 60:10Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi, 2 na hutoki tena na majeshi yetu? 1
Amos 5:4Hili ndilo Bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli: 1 “Nitafuteni mpate kuishi; 2