bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 21 › 2 Chronicles 21:5
2 Chronicles 21:5
Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka minane.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jehoram was thirty and two years old when he began to reign, and he reigned eight years in Jerusalem.
In Context
4Baada ya Yehoramu kujiimarisha katika ufalme wa baba yake, akawaua kwa upanga ndugu zake wote pamoja na baadhi ya wakuu wa Israeli.
6Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, kama nyumba ya Ahabu ilivyokuwa imefanya, kwa kuwa alimwoa binti wa Ahabu. Akatenda maovu machoni pa Bwana.
Read all of 2 Chronicles 21
Cross References
2 Kings 8:17Alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka minane.
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 21:5