2 Chronicles 25:1
Amazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Yehoadani kutoka Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Akatenda yaliyo mema machoni pa Bwana, lakini sio kwa moyo wake wote.
Cross References
2 Kings 14:1Katika mwaka wa pili wa utawala wa Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli, Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda alianza kutawala.