bible.software › 2 Nyakati › 2 Nyakati 25 › 2 Nyakati 25:11
2 Nyakati 25:11
Ndipo Amazia akajitia nguvu na kuliongoza jeshi lake kwenye Bonde la Chumvi, ambako aliua watu 10,000 wa Seiri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Amaziah strengthened himself, and led forth his people, and went to the valley of salt, and smote of the children of Seir ten thousand.
In Context
10Hivyo Amazia akayaondoa yale majeshi yaliyokuwa yamekuja kutoka Efraimu na kuyarudisha nyumbani. Waliwakasirikia sana Yuda, nao wakarudi nyumbani wakiwa na hasira kali.
12Jeshi la Yuda pia likawateka watu 10,000 wakiwa hai, likawapandisha juu ya jabali na kuwatupa chini kwa nguvu hata wote wakavunjika vipande vipande.
Read all of 2 Nyakati 25
Cross References
2 Samuel 8:13Naye Daudi akapata sifa baada ya kurudi kutoka kuwaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
Psalms 60:1Ee Mungu, umetukataa na kutokea ghafula juu yetu, 2 umekasirika: sasa turejeshe upya! 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Nyakati 25:11