bible.software › 2 Nyakati › 2 Nyakati 26 › 2 Nyakati 26:4
2 Nyakati 26:4
Akatenda yaliyo mema machoni pa Bwana, kama Amazia baba yake alivyofanya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he did that which was right in the sight of the LORD, according to all that his father Amaziah did.
In Context
3Uzia alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka hamsini na miwili. Mama yake aliitwa Yekolia wa Yerusalemu.
5Akamtafuta Mungu katika siku za Zekaria, aliyemwelekeza kumcha Mungu. Wakati wote alipomtafuta Bwana, Mungu alimfanikisha.
Read all of 2 Nyakati 26
Cross References
2 Chronicles 25:2Akatenda yaliyo mema machoni pa Bwana, lakini sio kwa moyo wake wote.
2 Chronicles 29:2Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana kama Daudi baba yake alivyofanya.
This Verse In Other Editions
Study 2 Nyakati 26:4