bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 28 › 2 Chronicles 28:14
2 Chronicles 28:14
Hivyo wale askari wakawaacha wale mateka pamoja na nyara mbele ya hao maafisa na kusanyiko lote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So the armed men left the captives and the spoil before the princes and all the congregation.
In Context
13Wakamwambia, “Hamna ruhusa kuwaleta hao wafungwa hapa, ama sivyo tutakuwa na hatia mbele za Bwana. Je, mnataka kuongezea dhambi yetu na hatia yetu? Kwa sababu hatia yetu tayari ni kubwa, nayo hasira kali ya Bwana iko juu ya Israeli.”
15Kisha watu waliotajwa kwa majina wakawachukua wale mateka na kutoka zile nyara, wakachukua mavazi wakawavika wale wafungwa wote waliokuwa uchi. Wakawapatia nguo na viatu, chakula na cha kunywa, wakawapa matibabu, wote waliokuwa dhaifu miongoni mwao wakawapandisha juu ya punda, wakawaleta ndugu zao mpaka Yeriko, ndio Mji wa Mitende, kisha wakarudi Samaria. 1 Waashuru Wakataa Kusaidia Yuda (2 Wafalme 16:7-9)
Read all of 2 Chronicles 28
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 28:14