bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 3 › 2 Chronicles 3:10
2 Chronicles 3:10
Katika sehemu ya Patakatifu pa Patakatifu akafanyiza jozi moja ya makerubi ya kuchongwa na kuyafunika kwa dhahabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in the most holy house he made two cherubims of image work, and overlaid them with gold.
In Context
9Misumari ya dhahabu ilikuwa na uzito wa shekeli hamsini. + 3:9 Shekeli 50 za dhahabu ni sawa na gramu 600. Alivifunika pia vyumba vya juu kwa dhahabu.
11Urefu wa mabawa ya hao makerubi ulikuwa jumla ya dhiraa ishirini. Bawa moja la kerubi wa kwanza lilikuwa na urefu wa dhiraa tano, + 3:11 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25. nalo liligusa ukuta wa Hekalu, bawa lake lingine, lilikuwa pia na urefu wa dhiraa tano, ambalo liligusa bawa la kerubi lingine.
Read all of 2 Chronicles 3
Cross References
Exodus 25:18Tengeneza makerubi wawili wa dhahabu iliyofuliwa katika miisho ya hicho kifuniko.
1 Kings 6:23Katika Patakatifu pa Patakatifu akatengeneza makerubi wawili kwa mzeituni, kila moja likiwa na dhiraa kumi + 6:23 Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5. kwenda juu.
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 3:10