The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 3 › 2 Chronicles 3:2

2 Chronicles 3:2

Alianza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa utawala wake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he began to build in the second day of the second month, in the fourth year of his reign.

In Context

1Ndipo Solomoni akaanza kujenga Hekalu la Bwana katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Bwana alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna, + 3:1 Pia anaitwa Ornani kwa Kiebrania. Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.

3Msingi aliouweka Solomoni kwa ajili ya kulijenga Hekalu la Mungu ulikuwa urefu wa dhiraa sitini + 3:3 Dhiraa 60 ni sawa na mita 27. na upana dhiraa ishirini. + 3:3 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.

Read all of 2 Chronicles 3

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 3:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 3:12 Chronicles 32 Chronicles 3:3 →