2 Chronicles 30:13
Basi umati mkubwa wa watu ukakusanyika huko Yerusalemu kuadhimisha Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu katika mwezi wa pili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 23:22Hapakuwahi kuwepo na adhimisho lingine la Pasaka kama hilo tangu nyakati za Waamuzi walioongoza Israeli, wala katika nyakati zote za wafalme wa Israeli na wafalme wa Yuda.
2 Chronicles 30:15Kisha wakamchinja mwana-kondoo wa Pasaka katika siku ya kumi na nne ya mwezi wa pili. Makuhani na Walawi waliona aibu, wakajitakasa na kuleta sadaka za kuteketezwa katika Hekalu la Bwana.
Psalms 84:7Huendelea toka nguvu hadi nguvu, 2 hadi kila mmoja afikapo 2 mbele za Mungu huko Sayuni. 1