bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 30 › 2 Chronicles 30:4
2 Chronicles 30:4
Mpango huu ukaonekana wafaa kwa mfalme na kusanyiko lote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the thing pleased the king and all the congregation.
In Context
3Kwa sababu makuhani hawakuwa wamejitakasa idadi ya kutosha na watu wakawa hawajakusanyika huko Yerusalemu, hawakuwa wameweza kuadhimisha Pasaka kwa wakati wake wa kawaida.
5Wakaamua kupeleka tangazo Israeli kote, kuanzia Beer-Sheba hadi Dani, wakiwaita watu waje Yerusalemu kuadhimisha Pasaka ya Bwana, Mungu wa Israeli. Ilikuwa haijaadhimishwa na idadi kubwa ya watu kama hiyo kufuatana na yale yaliyokuwa yameandikwa.
Read all of 2 Chronicles 30
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 30:4