2 Chronicles 32:9
Hatimaye Senakeribu mfalme wa Ashuru na majeshi yake yote walipokuwa wameuzunguka Lakishi, akawatuma maafisa wake kwenda Yerusalemu wakiwa na ujumbe huu kwa Hezekia mfalme wa Yuda, na kwa watu wote wa Yuda waliokuwako humo, kusema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 12:11mfalme wa Yarmuthi 2 mmoja 1 mfalme wa Lakishi 2 mmoja 1
2 Kings 18:17Mfalme wa Ashuru akamtuma jemadari wake mkuu, na afisa wake mkuu, na jemadari wa jeshi, pamoja na jeshi kubwa kutoka Lakishi hadi kwa Mfalme Hezekia huko Yerusalemu. Wakaja Yerusalemu na kusimama kwenye mfereji wa Bwawa la Juu, lililojengwa katika barabara iendayo kwenye Uwanja wa Dobi.
Isaiah 36:2Kisha mfalme wa Ashuru akamtuma jemadari wa jeshi pamoja na jeshi kubwa kutoka Lakishi hadi kwa Mfalme Hezekia huko Yerusalemu. Jemadari wa jeshi akasimama kwenye mfereji wa Bwawa la Juu, lililojengwa katika barabara iendayo kwenye Uwanja wa Dobi.
Micah 1:13Enyi mkaao Lakishi, 2 fungeni farasi kwenye magari ya vita. 1 Mlikuwa chanzo cha dhambi 2 kwa Binti Sayuni, 1 kwa kuwa makosa ya Israeli 2 yalikutwa kwako. 1