2 Chronicles 33:20
Manase akalala pamoja na baba zake akazikwa katika jumba lake la kifalme. Naye Amoni mwanawe akawa mfalme baada yake. 1 Amoni Mfalme Wa Yuda (2 Wafalme 21:19-26)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 21:18Manase akalala pamoja na baba zake na akazikwa katika bustani ya jumba lake la kifalme, katika bustani ya Uza. Naye Amoni mwanawe akawa mfalme baada yake. 1 Amoni Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 33:21-25)
2 Chronicles 21:20Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipokuwa mfalme, naye akatawala huko Yerusalemu miaka minane. Akafa, bila kusikitikiwa na mtu yeyote, naye akazikwa katika Mji wa Daudi, lakini si katika makaburi ya wafalme.
2 Chronicles 33:21Amoni alikuwa na miaka ishirini na miwili, alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili.