2 Chronicles 34:13
wakawa wasimamizi wa vibarua na kuwaongoza wale waliofanya kila aina ya kazi. Baadhi ya Walawi walikuwa waandishi, maafisa na mabawabu. 1 Kitabu Cha Sheria Chapatikana (2 Wafalme 22:3-20)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 9:17Mabawabu katika Hekalu la Bwana waliorudi walikuwa: 2 Shalumu, Akubu, Talmoni, Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mlinzi wao mkuu.
1 Chronicles 16:38Pia akamwacha Obed-Edomu pamoja na wenzake sitini na wanane wahudumu pamoja nao. Obed-Edomu mwana wa Yeduthuni na pia Hosa walikuwa mabawabu wa lango.
1 Chronicles 23:4Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi,
1 Chronicles 26:1Hii ndiyo migawanyo ya mabawabu: 1 Kutoka kwa wana wa Kora alikuwa: Meshelemia mwana wa Kore, mmoja wa wana wa Asafu. 1
2 Chronicles 2:10Nitawapa watumishi wako, yaani, maseremala wakatao mbao, kori 20,000 + 2:10 Kori 20,000 za ngano ni sawa na lita 4,400. za unga wa ngano, kori 20,000 za shayiri, bathi 20,000 + 2:10 Bathi 20,000 za mvinyo au mafuta ni sawa na lita 440,000. za mvinyo, na bathi 20,000 za mafuta ya zeituni.”
2 Chronicles 8:10Pia walikuwa maafisa wakuu wa Mfalme Solomoni, yaani, maafisa wakaguzi 250 waliosimamia watu.