bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 34 › 2 Chronicles 34:29
2 Chronicles 34:29
Kisha mfalme akawaita pamoja wazee wote wa Yuda na Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the king sent and gathered together all the elders of Judah and Jerusalem.
In Context
28Basi nitakukusanya kwa baba zako, nawe utazikwa kwa amani. Macho yako hayataona maafa yote nitakayoleta juu ya mahali hapa na juu ya wote wanaoishi hapa.’ ” Kwa hiyo wakampelekea mfalme jibu lake. 1 Yosia Afanya Agano La Kutii (2 Wafalme 23:1-20)
30Akapanda kwenda hekaluni mwa Bwana pamoja na watu wa Yuda, watu wa Yerusalemu, makuhani na Walawi, watu wote, wakubwa kwa wadogo. Akasoma wakiwa wanasikia maneno yote ya Kitabu cha Agano, ambacho kilikuwa kimepatikana katika Hekalu la Bwana.
Read all of 2 Chronicles 34
Cross References
2 Kings 23:1Kisha mfalme akawaita pamoja wazee wote wa Yuda na Yerusalemu.
2 Chronicles 1:2Ndipo Solomoni akasema na Israeli wote, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia, waamuzi na viongozi wote katika Israeli, pamoja na wakuu wa jamaa.
Mark 14:8Huyu mwanamke amenitendea lile aliloweza. Ameumiminia mwili wangu manukato ili kuniandaa kwa maziko yangu.
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 34:29