2 Chronicles 36:4
Mfalme wa Misri akamweka Eliakimu, nduguye Yehoahazi, kuwa mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu na kubadili jina la Eliakimu kuwa Yehoyakimu. Lakini Neko akamchukua Yehoahazi, Nduguye Eliakimu akampeleka Misri. 1 Yehoyakimu Mfalme Wa Yuda (2 Wafalme 23:35–24:7)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 23:34Farao Neko akamfanya Eliakimu mwana wa Yosia kuwa mfalme mahali pa baba yake Yosia, na kulibadilisha jina la Eliakimu kuwa Yehoyakimu. Lakini akamchukua Yehoahazi na kumpeleka Misri, naye akafia huko. 1 Yehoyakimu Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 36:5-8)
Jeremiah 22:10Usimlilie yeye aliyekufa, wala usimwombolezee; 2 badala yake, afadhali umlilie kwa uchungu 2 yule aliyepelekwa uhamishoni, 1 kwa sababu kamwe hatairudia 2 wala kuiona tena nchi yake alikozaliwa.
Jeremiah 26:1Mwanzoni mwa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, neno hili lilikuja kutoka kwa Bwana: