2 Chronicles 4:13
yale makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14vishikio pamoja na masinia yake; 1
Cross References
1 Kings 7:20Juu ya mataji ya zile nguzo mbili, juu ya ile sehemu yenye umbo kama bakuli, karibu na ule wavu, kulikuwa na yale makomamanga 200 katika safu kuzunguka pande zote.
1 Kings 7:42makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo); 1
Song of Solomon 4:13Mimea yako ni bustani ya mikomamanga 2 yenye matunda mazuri sana, 2 yenye hina na nardo, 1