2 Nyakati 5:4
Wazee wote wa Israeli walipofika, Walawi wakajitwika Sanduku la Agano,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the elders of Israel came; and the Levites took up the ark.
In Context
3Nao wanaume wote wa Israeli wakakusanyika kwa mfalme wakati wa sikukuu mwezi wa saba.
Cross References
Joshua 3:6Yoshua akawaambia makuhani, “Liinueni Sanduku la Agano mkatangulie mbele ya watu.” Hivyo wakaliinua na kutangulia mbele yao.
1 Kings 8:3Wazee wote wa Israeli walipofika, makuhani wakajitwika Sanduku la Agano,
1 Chronicles 15:12Akawaambia, “Ninyi ndio viongozi wa jamaa za Walawi. Ninyi pamoja na Walawi wenzenu inawapasa mjitakase na kulipandisha Sanduku la Bwana, Mungu wa Israeli hadi mahali ambapo nimetengeneza kwa ajili yake.