2 Chronicles 6:29
wakati dua au maombi yatakapofanywa na mmojawapo wa watu wako Israeli, kila mmoja akitambua taabu zake na uchungu wake, naye akainyoosha mikono yake kuelekea Hekalu hili,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 20:9‘Kama maafa yakitujia, ikiwa ni upanga, hukumu, tauni, au njaa, tutasimama mbele zako, mbele ya Hekalu hili ambalo limeitwa kwa Jina lako na kukulilia katika shida yetu, nawe utatusikia na kutuokoa.’
Psalms 32:5Kisha nilikujulisha dhambi yangu 2 wala sikuficha uovu wangu. 1 Nilisema, “Nitaungama 2 makosa yangu kwa Bwana.” 1 Ndipo uliponisamehe 2 hatia ya dhambi yangu. 1
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Psalms 142:1Namlilia Bwana kwa sauti, 2 nainua sauti yangu kwa Bwana anihurumie. 1
Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2