2 Chronicles 6:35
basi usikie dua na maombi yao kutoka mbinguni, ukawatetee haki yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then hear thou from the heavens their prayer and their supplication, and maintain their cause.
In Context
Cross References
Isaiah 37:21Kisha Isaya mwana wa Amozi akapeleka ujumbe kwa Hezekia, akasema: “Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: Kwa sababu umeniomba kuhusu Senakeribu mfalme wa Ashuru,
Daniel 9:17“Basi Mungu wetu, sasa sikia maombi na dua ya mtumishi wako. Ee Bwana, kwa ajili yako angalia kwa huruma ukiwa wa mahali pako patakatifu.