2 Chronicles 7:3
Waisraeli wote walipoona moto ukishuka na utukufu wa Bwana ukiwa juu ya Hekalu, wakapiga magoti sakafuni wakasujudu nyuso zao mpaka chini, nao wakamwabudu na kumshukuru Bwana wakisema, 1 “Yeye ni mwema; 2 upendo wake unadumu milele.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Makuhani hawakuweza kuingia ndani ya Hekalu la Bwana kwa sababu utukufu wa Bwana ulilijaza.
4Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za Bwana Mungu.
Cross References
Exodus 4:31nao wakaamini. Nao waliposikia kuwa Bwana anajishughulisha nao, na kwamba ameona mateso yao, walisujudu na kuabudu.
Numbers 14:5Ndipo Mose na Aroni wakaanguka kifudifudi mbele ya kusanyiko lote la Kiisraeli lililokusanyika hapo.
1 Kings 18:39Wakati watu wote walipoona hili, wakaanguka kifudifudi na kulia, “ Bwana: yeye ndiye Mungu! Bwana: yeye ndiye Mungu!”
1 Chronicles 29:20Ndipo Daudi akaliambia kusanyiko lote, “Mhimidini Bwana Mungu wenu.” Hivyo wote wakamhimidi Bwana, Mungu wa baba zao. Wakasujudu na kuanguka kifudifudi mbele za Bwana na mfalme. 1 Solomoni Akubalika Kuwa Mfalme
2 Chronicles 20:18Yehoshafati akainamisha uso wake chini, nao watu wote wa Yuda na Yerusalemu wakaanguka chini ili kuabudu mbele za Bwana.
2 Chronicles 29:28Kusanyiko lote wakaabudu kwa kusujudu, wakati waimbaji wakiwa wanaimba na wenye tarumbeta wakipiga tarumbeta zao. Yote haya yaliendelea mpaka walipomaliza kutoa ile dhabihu ya sadaka ya kuteketezwa.