2 Chronicles 8:4
Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he built Tadmor in the wilderness, and all the store cities, which he built in Hamath.
In Context
3Kisha Solomoni akaenda Hamath-Soba na kuuteka.
Cross References
2 Chronicles 17:12Yehoshafati akaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi, akajenga ngome na miji ya hazina katika Yuda