2 Chronicles 9:1
Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni, huyo malkia akaja Yerusalemu kumjaribu kwa maswali magumu. Alifika akiwa na msafara mkubwa sana, pamoja na ngamia waliobeba vikolezi, kiasi kikubwa cha dhahabu na vito vya thamani, alikuja kwa Solomoni na kuzungumza naye kuhusu yote ambayo alikuwa nayo moyoni mwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:28Obali, Abimaeli, Sheba,
1 Samuel 1:15Hana akajibu, “Si hivyo bwana wangu, mimi ni mwanamke mwenye huzuni kubwa. Mimi sijanywa mvinyo wala kileo, nilikuwa ninaumimina moyo wangu kwa Bwana.
1 Kings 10:1Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni na uhusiano wake na jina la Bwana, akaja kumjaribu kwa maswali magumu.
2 Chronicles 1:12kwa hiyo utapewa hekima na maarifa. Tena nitakupa pia mali, utajiri na heshima, ambavyo hakuna mfalme yeyote aliyekuwepo kabla yako amewahi kuwa navyo, na hakuna yeyote baada yako atakayekuwa navyo.” 1 Fahari Ya Solomoni (1 Wafalme 10:26-29)
Psalms 49:4Nitatega sikio langu nisikilize mithali, 2 nitafafanua kitendawili kwa zeze: 1
Psalms 72:15Aishi maisha marefu! 2 Na apewe dhahabu ya Sheba. 1 Watu wamwombee daima 2 na kumbariki mchana kutwa. 1