bible.software › 2 Nyakati › 2 Nyakati 9 › 2 Nyakati 9:17
2 Nyakati 9:17
Kisha mfalme akatengeneza kiti kikubwa cha kifalme kwa kutumia pembe za ndovu na kukifunika kwa dhahabu safi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Moreover the king made a great throne of ivory, and overlaid it with pure gold.
In Context
16Akatengeneza pia ngao ndogo 300 za dhahabu iliyofuliwa, kila ngao ikiwa na uzito wa mane tatu + 9:16 Mane tatu za dhahabu ni sawa na kilo 1.7. za dhahabu. Mfalme akaziweka katika Jumba la Kifalme la Msitu wa Lebanoni.
18Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita na mahali pa kuwekea miguu vyote vya dhahabu. Pande zote za kiti kulikuwa na mahali pa kuegemeza mikono, na simba wawili wakisimama kando ya hiyo mikono.
Read all of 2 Nyakati 9
Cross References
Psalms 45:8Mavazi yako yote yana harufu nzuri 2 ya manemane, udi na mdalasini; 1 kutoka kwenye majumba ya kifalme 2 yaliyopambwa kwa pembe za ndovu, 1 sauti za vinanda vya nyuzi 2 zinakufanya ufurahi. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Nyakati 9:17