2 Chronicles 9:4
chakula kilichokuwa mezani pake, jinsi maafisa wake walivyokaa, wahudumu katika majoho yao, wanyweshaji wake na sadaka za kuteketezwa alizotoa katika Hekalu la Bwana alipatwa na mshangao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Solomoni na jumba la kifalme alilokuwa amejenga,
Cross References
1 Kings 5:2Solomoni akapeleka ujumbe huu kwa Hiramu:
1 Kings 10:5chakula kilichokuwa mezani pake, jinsi maafisa wake walivyokaa, wahudumu katika majoho yao, wanyweshaji wake na sadaka za kuteketezwa alizotoa katika hekalu la Bwana, alipatwa na mshangao.
1 Chronicles 9:18Walikuwa wamewekwa katika lango la mfalme lililokuwa upande wa mashariki, mpaka wakati huu. Hawa walikuwa mabawabu wa kutoka kwenye kambi ya Walawi.
Nehemiah 1:11Ee Bwana, tega sikio lako na usikie maombi ya huyu mtumishi wako, na maombi ya watumishi wako wanaofurahia kuliheshimu Jina lako. Nipe leo, mimi mtumishi wako, mafanikio kwa kunipa kibali mbele ya mtu huyu.” Kwa maana nilikuwa mnyweshaji wa mfalme.
Psalms 143:7Ee Bwana, unijibu haraka, 2 roho yangu inazimia. 1 Usinifiche uso wako, 2 ama sivyo nitafanana na wale washukao shimoni. 1
Song of Solomon 5:8Enyi binti za Yerusalemu, ninawaagiza: 2 kama mkimpata mpenzi wangu, 1 mtamwambia nini? 2 Mwambieni ninazimia kwa mapenzi. Marafiki 1