bible.software › 2 Wakorintho › 2 Wakorintho 1 › 2 Wakorintho 1:13
2 Wakorintho 1:13
Kwa maana hatuwaandikii mambo ambayo hamwezi kusoma au kuyaelewa. Natumaini kwamba,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For we write none other things unto you, than what ye read or acknowledge; and I trust ye shall acknowledge even to the end;
In Context
12Basi haya ndiyo majivuno yetu: Dhamiri yetu inatushuhudia kwamba tumeenenda katika ulimwengu na hasa katika uhusiano wetu na ninyi, katika utakatifu na uaminifu utokao kwa Mungu. Hatukufanya hivyo kwa hekima ya kidunia bali kwa neema ya Mungu.
14kama vile mlivyotuelewa kwa sehemu, mtakuja kuelewa kwa ukamilifu ili mweze kujivuna kwa ajili yetu, kama na sisi tutakavyojivuna kwa ajili yenu katika siku ya Bwana Yesu.
Read all of 2 Wakorintho 1
Cross References
2 Corinthians 4:2Tumekataa mambo ya siri na ya aibu, wala hatufuati njia za udanganyifu, tukichanganya Neno la Mungu na uongo. Kinyume cha hayo, tunadhihirisha kweli waziwazi na kujitambulisha wenyewe kwenye dhamiri ya kila mtu mbele za Mungu.
2 Corinthians 13:6Natumaini mtaona kuwa sisi hatukushindwa.
This Verse In Other Editions
Study 2 Wakorintho 1:13