2 Wakorintho 1:16
Nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda Makedonia, na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda Yudea.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
15Nikiwa na matumaini hayo, nilikusudia kuja kwenu hapo awali ili mpate baraka maradufu.
Cross References
Acts 19:21Baada ya mambo hayo, Paulo aliamua kwenda Yerusalemu kwa kupitia Makedonia na Akaya. Alisema, “Baada ya kufika huko, itanilazimu kuona Roma pia.”
1 Corinthians 16:5Nitakuja kwenu, baada ya kupitia Makedonia—maana nataraji kupitia Makedonia.