The Bible Software
bible.software2 Corinthians2 Corinthians 1 › 2 Corinthians 1:21

2 Corinthians 1:21

Basi ni Mungu atufanyaye sisi pamoja nanyi kusimama imara katika Kristo. Ametutia mafuta

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now he which stablisheth us with you in Christ, and hath anointed us, is God;

In Context

20Kwa maana ahadi zote za Mungu zilizo katika Kristo ni “Ndiyo.” Kwa sababu hii ni kwake yeye tunasema “Amen” kwa utukufu wa Mungu.

22kwa kututia muhuri wake na kutupa Roho wake mioyoni mwetu kuwa rehani kwa ajili ya kututhibitishia kile kijacho.

Read all of 2 Corinthians 1

Cross References

Psalms 37:23Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu, 2 yeye huimarisha hatua zake, 1

Psalms 87:5Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, 2 “Huyu na yule walizaliwa humo, 1 naye Aliye Juu Sana mwenyewe 2 atamwimarisha.” 1

Isaiah 9:7Kuongezeka kwa utawala wake na amani 2 hakutakuwa na mwisho. 1 Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi 2 na juu ya ufalme wake, 1 akiuthibitisha na kuutegemeza 2 kwa haki na kwa adili, 2 tangu wakati huo na hata milele. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 utatimiza haya. 1 Hasira Ya Bwana Dhidi Ya Israeli 1

Isaiah 59:21“Kwa habari yangu mimi, hili ndilo agano langu nao,” asema Bwana. “Roho wangu, aliye juu yenu, na maneno yangu ambayo nimeyaweka katika vinywa vyenu, havitaondoka vinywani mwenu, wala kutoka vinywani mwa watoto wenu, wala kutoka vinywani mwa wazao wao, kuanzia sasa na hata milele,” asema Bwana.

Isaiah 62:7msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu 2 na kuufanya uwe sifa ya dunia. 1

Acts 10:38Jinsi Mungu alivyomtia Yesu wa Nazareti mafuta katika Roho Mtakatifu na jinsi alivyokwenda huku na huko akitenda mema na kuponya wote waliokuwa wameonewa na nguvu za ibilisi, kwa sababu Mungu alikuwa pamoja naye.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Corinthians 1:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Corinthians 1:202 Corinthians 12 Corinthians 1:22 →